Sunday, September 7, 2014

PG4A4612Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani      ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ, Mkuu wa majeshi  ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange  katika sherehe  za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. *Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu
PG4A4799
Rais Jakaya Kikwete  akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani  katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.  Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jeneral Davis Mwamunyange *Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu

PG4A4829
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue  katika sherehe za kutunuku nishani  zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. *Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu
PG4A4834
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya Rais Jakaya Kikwete kutunuku nishani   katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.  Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na wapili kushoto ni waziri Mkuu Mstaafu John Malecela *Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment