Wednesday, September 17, 2014
SAFARI YA KINANA KUTOKA NYAMISATI MPAKA MAFIA KWA BOTI YA KIZAMANI
Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 17, 2014
I
likiwa ni safari ngumu lakini yenye mafunzo mengi nikiwa nimepanda kwenye boti ya Doria wakati wa msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake tukitokea Nyamisati kuelekea Mafia ambapo katibu Mkuu huyo yupo katika
ziara ya kikazi ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akikagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika
shughuli za maendeleo, Nilipangiwa kupanda boti hii ya mwendo kasi ili kupata tas
wira za msafara kwa ujumla na hizi ndiyo tawira zenyewe endelea kuperuzi.
(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-PWANI)
Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jamno pamoja na wabunge wa Mafia Abdulhimid Shah kulia na Abdull Marombwa wakati Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na
Uenezi Nape Nnnauye alipokuwa akiwaaga wananchi katika mji wa Nyamisati wakati msafara wa Katibu Mkuu wa CCM ukielekea Mafia wakati akiwa katikaziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 ikiwa ni pamoja na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo.
Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na
Uenezi Nape Nnnauye akiwa pamoja na wananchi mara baada ya kupanda kwenye boti kuelekea kisiwani Mafia jana.
Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na mbunge wa Mafia Mh. Abdulhimid Shah wakipungia mkono wananchi mara baada ya boti hiyo kuondoka katika pwani ya Nyamisati.
Boti ikikata mawimbi baharini huku bendera za CCM zikipepea.
Mawimbi makali kidogo lakini ndiyo mwendo wenyewe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wakiwa kwenye mtumbi kuelekea pwani ya Mafia baada ya kushuka kwenye boti wakati msafara ulipowasili kiwani humo jana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wakiwa kwenye mtumbi kuelekea pwani ya Mafia baada ya kushuka kwenye boti wakati msafara ulipowasili kiwani humo jana. Katikati anayepunga mkono ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwishehe Mlao
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi pamoja na mbunge wa Mafia Mh. wakiwa
Mafia Mh. Abdulhimid Shah
kwenye pwani ya Mafia baada ya kushuka kwenye boti wakati msafara ulipowasili kisiwani humo jana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akiangalia vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani mara baada ya kwasili kisiwani Mafia jana.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi
akiwahutubia wananchi katika uwanja wa stendi ya mabasi mjini mafia jana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi jana mjini Mafia.
Mh. Abdulhimid Shah
mbunge wa Mafia akiwahutubia wananchi wa jimbo lake.
Naibu Waziri wa Nishati nishati na madini Mh. Charles Kitwanga akiwahutubia wananchi wa Mafia na kuwaelezea mipango ya serikali juu ya huduma ya umeme katika kisiwa hicho.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment