
Mashabiki wenye gadhabu wakilizingira gari la Mbongo Fleva, 'Diamond Platinum' nchini Ujerumani.
SIKU chache baada ya kutolewa kwa taarifa ya kukamatwa kwa promota aliyempeleka msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ nchini Ujerumani kwa ajili ya kufanya shoo aliyejulikana kwa jina la Awin Williams Akpomiemie, mwenye asili ya Kinigeria, nyuma ya sakata hili siri saba zimefichuka, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili.
SIRI YA KWANZA; KIBALI
Uchunguzi uliofanywa na mwanahabari wetu ulibaini kwamba katika sakata hilo lililojiri wiki mbili zilizopita, promota huyo aliwadanganya wamiliki wa Ukumbi wa Sindelfingen uliopo Mji wa Stuttgart, Ujerumani kuwa kutakuwa na mkutano wa Waafrika waishio nchini humo na baada ya hapo kutakuwa na pati ya kawaida.
0 comments:
Post a Comment