Msanii wa nyota wa kiwanda cha filamu Bongo,
Aunty Ezekiel na mbongo fleva, Kassim Mganga
wamepata nafasi ya kutembelea ubalozi wa
Tanzania uliopo mjini Washington Dc nchini
Marekani na kupata fursa ya kupiga picha na
baadhi ya watanzania waishio huko.