Tuesday, September 9, 2014

-
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri
  Kaguta Museveni, anatarajiwa kuwasili nchini siku ya
Jumatano asubuhi, tarehe 10 Septemba, 2014 kwa ziara ya
  kikazi ya siku

Katika ziara hiyo nchini, Mhe. Museveni
  atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Mhe. Jakaya Mrisho
  Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Dar
  es Salaam. Rais Museveni ataondoka baadaye siku hiyo hiyo
  kurejea
  nyumbani.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA
  SERIKALI,
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO
  WA
  KIMATAIFA

0 comments:

Post a Comment