Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba.
|
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akitoa maelezo muhimu wakati wa mjadala wa Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na wajumbe wengine wa Bunge Maalum la Katiba. Kushoto ni Mhe. Pandu Ameir Kificho na katikati ni Mhe. Seif Khatibu.
|
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) akiwa na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Margareth Sitta wakifuatilia mjadala ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 Bungeni mjini Dodoma.
|
0 comments:
Post a Comment