Monday, September 1, 2014

Jiji la Dar kuanzia wiki iliyopita limekuwa kwenye giza nene la uvumi mzito wa Mbunge wa Nzega CCM Dr. Hamis Kigwangwalla, kujitayarisha kuingia kwenye ulingo wa kugombea Urais wa Tanzania kwa kupitia tiketi ya Chama Tawala CCM. Blogu ya Wananchi imezinasa ripoti za siri sana kwamba Mbunge huyo anatazamiwa kutangaza nia yake rasmi Jumapili hii Tarehe 7/9/2014 katika Ukumbi wa mikutano wa Kempisk Hotel. Wananchi wengi wa hapa mjini wanaonyesha nia kuwa ya kutaka kumsikia mbunge huyo mtata akifunguka mwenyewe kuhusu uvumi huo!!, so stay tuned na Jumapili kama ni kweli mkutano huo utafanyika Blogu ya Wananchi itakuwepo ukumbini kuwaletea habari kamili. 

0 comments:

Post a Comment