LEMUTUZ

Tuesday, September 9, 2014

TTCL ILIVYONG’AA KATIKA MAONYESHO YA ERB MLIMANI CITY

Posted by Williammalecela.com on Tuesday, September 09, 2014
IMG_0239Mhandisi Anifa Chingumbe na Janeth Mwaimu wakimuelezea mmoja wa wateja waliotembelea banda la TTCL kuhusu ubora wa huduma na bidhaa zitolewazo na kampuni hiyo.IMG_0307Eric Muganga  akimuonesha mteja namna ya kutumia intanet ya TTCL
IMG_0322Waziri wa Ujenzi Mhe. John Pombe Magufuli akifurahi pamoja na wafanyakazi wa TTCL baada ya kupata maelezo kuhusu huduma zitolewazo na kampuni hiyo ikiwemo usimamizi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.IMG_0337Waziri wa Ujenzi Mhe. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni, anayeshuhudia ni Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Bi. Amanda Luhanga.
IMG_0469Picha ya pamoja.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT