MKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.
Tunda Mana katika pozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D' wakati wa mahojiano hayo.SOMA ZAIDI>>
0 comments:
Post a Comment