Posted by Williammalecela.com on Monday, September 01, 2014
Vazi alilokuwa amevaa Lulu
Michael katika fainali za Shindano la TMT lilizua balaa kubwa kwa
wanaume wapenda sketi baada ya vazi hilo kuanika hadharani maungo nyeti
ya msanii huyo.
Katika shindano hilo, Binti mdogo toka Mtwara, Mwanaafa Mwinzago, aliibuka kidedea na kujinyakulia milioni 50.

0 comments:
Post a Comment