Sunday, September 21, 2014

  Ni habri mpya ya mjini kwa sasa,ndoa ya Dada wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache,amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae  umezalisha kile amabcho wengi hawakukitgemea kama kingekuwa mapema hivi...Tunawatakia maisha mema ya ndoa na barka tele

0 comments:

Post a Comment