Monday, September 1, 2014

Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na mwandani wake 'Diamond Platinumz' 
MAHABATi! Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ amedhihirisha kuwa yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani baada ya kusema anajitahidi kila siku katika suala la mapishi ili asimlishe viporo mwandani wake, Nasibu Abdul, ‘Diamond’.
Akipiga domo na paparazi wetu, Wema alisema kama mwanamke anajua thamani ya mwanaume siku zote hata kama ‘baby’ wake atarudi usiku, lazima aingie jikoni kupika na haweki chakula kwenye ‘hot pot’

0 comments:

Post a Comment