Sunday, September 14, 2014

???????????????????????????????Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma akifungua Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza katika Ukumbi wa Ofisi ya Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar.

???????????????????????????????
Dkt. Ahlam Ali akiwasilisha mada ya maradhi  ya Presha katika Semina ya Waandishi wa Habari iliyohusu magonjwa yasiyoambukiza katika  Ofisi ya Malaria Zanzibar
???????????????????????????????
Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Hassan Vuai akitoa mchango  katika Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

0 comments:

Post a Comment