Thursday, October 16, 2014


askari wa ulinzi shirikishi, wamefanikiwa kufumua danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na njemba ambaye hakujulikana jina lake. Kikosi cha OFM kimkurupusha mke wa mtu aliyekuwa akifanya uzinzi na njemba moja(jina halikufamika). Tukio hilo la aibu ya karne lilijiri ndani ya eneo la shule ya msingi Shekilango, iliyopo Mapambano,
Sinza jijini Dar, hivi karibuni ambapo mke huyo wa mtu alikuwa akichepuka. Awali, OFM ilipokea taarifa za kuwepo kwa uchafu huo kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi eneo hilo baada ya kukerwa na tabia hiyo chafu huku wakiacha kondom zikiwa zimezagaa na kuhatarisha afya za watoto wao ambao huchezea mipira hiyo ya kinga kama mapulizo.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment