Pichani
juu ni baadhi ya Watu wakitazama ajali iliyotokea maeneo ya Hedaru
Wilayani Same mkoani Kilimanjaro jioni ya leo,ambapo ajali hiyo
ilihusisha gari ndogo yenye namba za usajili T653 BZR kuingia chini ya
uvungu wa basi la abairia lijulikanalo kwa jina la Happy Nation,kwa
mujibu wa chanzo chetu
cha habari kilieleza kuwa abiria
wote waliokuwemo ndani ya gari ndogo (ambao idadi yao haikujulikana)
walipoteza maisha papo hapo.Aidha bado haikufahamika mapema chanzo cha
ajali hiyo ni niniBOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI>>>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment