Alisema Watanzania wanatakiwa kuweka uzalendo mbele kwa kumpigia kura msanii huyo kwani ushindi wake utaisaidia Tanzania kuzidi kujulikana kimataifa katika sekta ya muziki na hata katika masuala mengine ya utamaduni.Msanii Diamond ambaye kwa sasa anaandamwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kuvaa sare za jeshi hilo bila ruhusa kwenye siku ya tamasha la Fiesta lililofanyika Dar es Salaam mapema leo hii amepata
promo kutoka kwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani mtangazaji wa kituo cha Channel O Jokate Mwegelo ambapo aliretweet moja kati ya post ya iliyotolewa na ChannelOAfrica kutoka kutoka Twitter naye Jokate Kuishare kwenye wall yake ushahidii huu hapa chiniSOMA ZAIDI>>>Friday, October 24, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment