Sunday, October 12, 2014


SAKATA la mmiliki na Mkurugenzi wa Kampuni Mafuta jijini Dar es Salaam, Ally Edha Awadhi, kuwanyanyasa, kuwafukuza kazi na kutumia mabaunsa wake kuwafanyia vitendo vya kikatili wafanyakazi wake linaendelea kufukuta ndani ya kampuni hiyo baada ya mfanyakazi mwingine kufanyiwa unyama na mwajiri huyo kisha kuachishwa kazi kiaina.

Awadhi anayetajwa kama mmoja wa mabilionea vijana nchini, mara kadhaa amefunguliwa mashitaka Polisi ya kuteka, kudhalilisha wafanyakazi wake kinyume cha maumbile na kupora mali zao bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria.
Imeelezwa kuwa mmiliki huyo amekuwa na ubavu wa kunyanyasa wafanyakazi wake katika kipindi kirefu ambapo licha ya walalamikaji kutoa taarifa katika vyombo vya dola bado kasumba ya kunyanyasa wafanyakazi wake bado anaendelea navyo bila kuogopa mkono wa sheria.
Full Story hapa ===> FikraPevu

0 comments:

Post a Comment