Posted by Williammalecela.com on Saturday, October 25, 2014
Naibu Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Lucy Nkya.
Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda huu.
0 comments:
Post a Comment