Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 16, 2014

 |
| @LE MUTUZ STRAIGHT TALK LIVE!!- Toka Jumamosi ilipotangazwa kwamba Mshindi wa Miss Tanzania 2014 ni Sitti Mtevu, mwenye umri wa miaka 18 kumekuwa na utata na malalamiko makubwa sana kwamba ushindi wake haukuwa wa haki, binafsi nimekuwa kimya sana kwa sababu kwanza Mheshimiwa Mtevu baba wa Sitti ambye ni Mbunge wa Temeke ni rafiki yangu wa karibu sana na pia baba zetu walikuwa marafiki wakubwa sana na pili Kamati ya Miss Tanzania ni watu wangu wa karibu sana kwa hiyo nikawa na kigugumizi kikubwa sana on the ishu. Leo kuna mtu amenitumia vipande 3 vya ushahidi kwamba Sitti ana umri mkubwa kuliko uliotajwa Miaka 18, ukweli ni kwamba ana miaka 25 ni ushahidi wa Passport yake na License yake ya gari akiwa Texas/USA. Pia nimetumiwa picha inayodaiwa kuwa ni ya mtoto wa kumzaaa mwenyewe Sitti, jamani naomba kusema hivi UONGO na UNAFIKI kwangu huwa ni mwiko na huu ni ushahidi wa wazi kwamba Ushindi wake haukuwa wa haki, kwa haya yote nawaomba wale wote waliohusika na maamuzi ya Jumamosi pale Mliman City wajipime na kutoa maamuzi magumu now kabla hatujaenda kujiabisha kwenye Miss World. Heshima ni kitu cha bure hakinunuliwi Dukani Miss Tanzania na kamati yenu kaeni chini na wadhamini wenu mfanye maamuzi magumu now msitulazimishe kuanza kuongelea zaidi hii ishu tutavumbua mengi sana yasiyohusu ok!! - Le Mutuz Big Show |
0 comments:
Post a Comment