Stori: Mwandishi Wetu
Aiseee! Ndoa ya binti aliyetambulika kwa jina moja la Husna (16), imebuma baada ya bwanaharusi, Rahim (30), kuingia mitini muda mfupi kabla ndoa kufungwa.
Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo ya Kitunda-Kati jijini Dar, wiki iliyopita ambapo chanzo makini kiliwajulisha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers kwamba, kuna ndoa ya mtoto inafungwa kinyume cha sheria.
0 comments:
Post a Comment