Davido, Diamond na rapper anayetamba kwa sasa Afrika Kusini Cassper Nyovest wametangazwa kutumbuiza kwenye ufunguzi wa shindano la Big Brother Afrika, Jumapili hii.
Ufunguzi huo utarushwa live kuanzia saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Cassper Nyovest anajulikana kwa ngoma zake kama “Gusheshe” na “Doc Shebeleza” na amewahi kushare jukwaa na wasanii mbalimbali wakiwemo Kendrick Lamar na Wiz Khalifa.

0 comments:
Post a Comment