Friday, October 3, 2014

Stori: Mwandishi Wetu
Ni sheeedah! Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amecharukia gari aina ya BMW 545 alilozawadiwa mwandani wake, Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ambaye ni Miss Tanzania 2006/07, akipinga gari hilo kupewa na meneja wake, Martin Kadinda.
Gari aina ya BMW 545i alilozawadiwa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na meneja wake, Martin Kadinda.
DIAMOND ACHANGANYIKIWA 
Habari za kipekepeke zilidai kuwa, taarifa ya Kadinda kumpa zawadi ya gari Wema kwenye pati ya bethidei yake Jumapili iliyopita, nyumbani kwake, Kijitonyama, Dar zilimchanganya Diamond na kudai kwamba ni kitu ambacho hakiwezekani kwa maana anamfahamu vyema Kadinda kuwa hana uwezo huo wa kununua BMW la zaidi Sh. milioni 56 za madafu.BOFYA HAPA INAENDELEA>>>

0 comments:

Post a Comment