Sunday, October 12, 2014

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya makamuzi ya nguvu usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D mkoani Dodoma kwenye Usiku wa Diamond Platnumz.

Diamond akiwadatisha mashabiki wake waliofurika kwa ajili ya Usiku wa Diamond Platnumz.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment