Posted by Williammalecela.com on Sunday, October 19, 2014
Katika interview yake na Sporah Show diamond Platnumz ameongelea vituvingi sana ambavyo ajawai kuvisema.Sporah alimuuliza Diamond swali hili"Je unamsaidia baba yako,au kuna kitu chochote anachotaka au kuna kitu akipo sawa"Diamond
alijibu hivi "Sio kivile.Unajua alikuwa mmoja watu matajiri Tanzania,kwahiyo sijui kama ana pesa au hana,lakini kama hana na anataka kitu nitampa,lakini siwezi kwenda na kumuuliza kama anataka kitu,lakini naweza kumuuliza mama yangu
Sporah alimuuliza Diamond kama baba yake alimkataa kwenye umri mdogo alimrudiha pale aliposikia Diamond ametoka kimuziki na Diamond alifunguka hivi.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI>>
0 comments:
Post a Comment