Posted by Williammalecela.com on Wednesday, October 29, 2014
 |
From left:- Mr Florenso Kirambata Mkurugenzi wa mauzo wa Hotel za Double Tree Hilton Hotelene + Deputy Mayor wa Ilala Mh. Kheri Mohamed + General Manager wa Hilton Hotel Mr. Ian MaClanchlan + Mganga Mkuu wa Amana Hospital Dr. Mwajuma Mbaga + Le Mutuz + Afisa wa Afya Ilala Johari Yusufu wakipokea misaadaa hiyo mbele ya Hotel hiyo Masaki mjini Dar.
|
 |
| Mkurugenzi wa Mauzo Double Tree Hilton Hotel Mr. Florenso Kirambata akishirikiana na General Manager wa Hotel hiyo Mr. Ian kutoa misaada ya Mamilioni ya pesa kwa Mganga Mkuu wa Hospital ya Amana Ilala. |
 |
| Deputy Mayor wa Ilala Mh. Kheri Mohamed + Hilton General Manager Ian + Mganga Mkuu Mwajuma |
0 comments:
Post a Comment