Thursday, October 16, 2014

Mtangazaji wa TV na muigizaji wa Filamu, Elizabeth Pena enzi za uhai wake.
Mtangazaji wa TV na muigizaji wa Filamu ya La Bamba na Rush Hour, Elizabeth Pena (55) amefariki juzi Jumanne Hospitali ya Cedars-Sinai, Los Angeles Marekani. Chanzo cha kifo chake akijajulikana.
Alizaliwa September 23, 1961. Baadhi ya Vipindi alivyoviendesha ni I Married Dora, Resurrection Blvd, Maya & Miguel, Shannon's Deal, Tough Cookies.

0 comments:

Post a Comment