Tuesday, October 7, 2014

5 BORA YA MIJI MIBOVU MAREKANI

5. LOUISIANA
Picha|yahoo.
Ni mji ambao unasambaza asilimia 90 ya samaki wa viwandan Dunia nzima. Idadi ya wakazi wenye elimu ya degree ni 21.4%, huku mwaka 2012 wastani wa kipato cha wakazi hao kwa siku kikiwa dola 42,944 kwa mwaka 2012 sawa na shilingi elfu 69 za Tanzania. Asilimia 20 ya wakazi wa mji huu ni masikini kwasababu wanaingiza kipato chini ya dola moja.

4. KENTUCKY
Picha|modapk.org.
Ni mji wa kilimo na viwanda. Mjii huu unashika namba tano kwa ufugaji wa kondoo Marekani, namba nane kwa uzalishaji wa nyama na namba 14 kwa uzalishaji wa nafaka nchini hapo. Asilimia 21 ya wakazi wa Kentusky wana elimu ya degree huku wastani wa kipato kwa wakazi kwa mwaka 2012 kikiwa ni dola 41,724 sawa na shilingi za Tanzania elfu 67. 

3. MISSISSIPPI
Picha|destination360.com.
Uchumi wa mjii huu unategemea kilimo. Asilimia 19 ya wakazi wa mjii huu kiwango chao cha elimu ni degree huku wastani wa kipato kwa wakazi wa Mississippi kwa mwaka 2012 ni dola 37,095.

2.  ARKANSAS
Picha|lakeouachita.org.


Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton ni mzaliwa wa mji huu ambao asilimia 18 ya wakazi wana elimu ya degree. Arkansas inashika namba nne kwa uzalishaji wa mbao Marekani. Wastani wa asilimia 7.5 ya wakazi wa Arkansas hawana ajira huku asilimia 15 ya wakazi wa mjii wakiandamwa na umasikini. Pamoja na hayo kipato cha kaya ni dola 40,112.

1.  WEST VIRGINIA
Picha|yahoo.
Hapa ndipo kilipo Chuo Kikuu cha West Virginia. Mji huu una kiwanda cha makaa ya mawe ambacho kinapata upinzani mkubwa wa kibiashara toka kwa vyanzo vingine vya umeme ikiwemo viwanda vya gesi vya miji mingine. Katika jitihada za kuvutia biashara katika eneo hilo Serikali ya Marekani ilishusha kodi mpaka asilimi 6.5 toka asilimia 8.5. Wasomi wenye degree katika mji huo ni asilimi 17.3 huku kipato kwa kaya kikiwa ni dola 40,196.

**MARYLAND ndio mji ambao uchumi wake uko vizur ambapo uchumi wa kaya ya kawaida ni wastani wa dola 71,122.

0 comments:

Post a Comment