Wednesday, October 22, 2014


Dar es Salaam. Mbio za urais ndani ya CCM zimechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Yusuf Makamba kutangaza rasmi kumuunga mkono mototo wake, January Makamba, Mzee Makamba alisema

 

"Makamba ni msomi kijana, na Tanzania ya sasa inahitaji rais wa kisasa atakayekwendana na kasi ya dunia ya leo, na January ni kizazi cha digitali, siyo kizazi cha BBC ‘yaani Born Before Computer’ ambao hawana uwezo wa kukabiliana na kasi ya dunia ya leo” alisema Mzee Makamba.

Chanzo: MWANANCHI

0 comments:

Post a Comment