Thursday, October 16, 2014

Msanii wa kwanza Waje kutoka Nigeria ameshawasili usiku wa kuamkia Oct 16 baada ya mameneja wa T.I kuwasili ambapo list nzima ya wasanii wa kimataifa bado imesalia kukamilika kwa ajili ya Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii Leaders Club Kinondoni, hizi ni baadhi ya picha za kuwasili kwa Waje. 


0 comments:

Post a Comment