Tuesday, October 21, 2014

Msanii Kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido' Ameweza kuwashukuru Watanzania kwa mapokezi waliyompatia pia pamoja na kushare jukwaa moja na Msanii
kutoka Marekani T.I amesema hayo kupitia ukurasa wa Istragram pindi alivyokuwa anaondoka nchini Tanzania.BOFYA HAPA KUONA ALICHOKISEMA>>>

0 comments:

Post a Comment