
Wolper katika pozi!Kwa wale wenzangu na mimi ambao mpo Instagram mtakubaliana na mimi kua Jackline Wolper ni mmoja kati ya wasanii wachache wa kike wanaoongoza kwa kupiga pamba. Baada ya watu kumzoea akiwa na nywele ndefu jana Wolper ametupia picha za muonekano wake mpya akiwa kanyoa nywele zake na kubakiza zikiwa fupi.


0 comments:
Post a Comment