Katika dhahama hiyo iliyotokea Lagos, Nigeria, miili ya wahanga wote watano iligunduliwa na majirani zao. Majirani wameripoti kuwa baba wa familia hiyo alinunua generator siku mbili kabla ya kukutwa na umauti, na kuliweka chumbani kwake akihofia kuwa litaibwa akiliweka nje.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI>>
Monday, October 6, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment