Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM muigizaji JOHARI CHAGULA maetupia picha hii (HAPO CHINI) na kuandika hivi:ujio mpya wa johari nikiwa mjasilia mali nauza ndizi dayana # we saka������ mi nasaka pesa. heshima ya mtu pesa baby baby makelele.
MY TAKE;
Huyu mdada namkubali sana, anauwezo mzuri sana katika uigizaji kwa hapa bongo kwa upande wa wanawake huyu ni KANUMBA wao....KEEP IT UP!!!
Hahaha ni penda upala.....!!!!
0 comments:
Post a Comment