Posted by Williammalecela.com on Monday, October 27, 2014
Oktoba
25, 2014 ilikuwa ni Siku ya Msanii Duniani ambayo kwa mara ya kwanza,
Tanzania iliiadhimisha siku hiyo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini
Dar, mgeni rasmi akiwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. Gharib Bilal.Siku hiyo ilipambwa na matukio kibao nyuma na
mbele ya pazia, ambapo kubwa lilikuwa ni la Jokate Mwegelo ambaye
alikuwa miongoni mwa ma-mc wa shughuli hiyo ya kitaifa, kumfagilia
waziwazi msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwamba hakuna kama
yeye, Ijumaa Wikienda lilikuwa ndani ya nyumba na kunasa matukio lukuki
yaliyojiri.
Mc Jokate Mwengelo (kulia) akikata mauno baada ya burudani kumnogea.
SHUGHULI YAANZA
Kwa kuzingatia itifaki, ukiacha waalikwa wengine, kiongozi aliyeanza kutimba alikuwa ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia na baadaye alifuatiwa na Dk. Bilal ambapo shughuli hiyo ilifunguliwa rasmi.SOMA ZAIDI>>>
0 comments:
Post a Comment