Wednesday, October 29, 2014


Mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’ ((mwenye suti ), akiwa chini ya ulinzi. Mtikisiko huo umekuja kufuatia maeneo mbalimbali ya jiji kumzungumzia kwa namna mbili, wengine wakifurahia wengine wakisikitika, hasa wanawake wanaoishi maeneo ya Magomeni Kondoa, Dar ambako mfanyabiashara huyo ndiko kwenye makazi yake. 
HII kali! Kukamatwa na polisi kwa mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’ (44) (aliyezungushiwa duara) hivi karibuni akidaiwa kukutwa na madawa ya kulevya ‘unga’ aina ya heroin yenye thamani ya shilingi 300,000,000 kumelitikisa Jiji la Dar, Uwazi limefuatalia hatua kwa hatua. 

1 comment:

  1. Watu kama hawa wahukumiwe kunyongwa sababu wameangamiza mamilioni ya vijana wetu,next generation iko hatarini kuangamia. Sijui wenzangu watz mnalionaje hili janga. This is huge than AIDS,EBOLA,ETC...

    ReplyDelete