Kijana mmoja mkazi wa Kimandolu jijini Arusha, (jina kapuni) mwenye umri wa miaka 18 amelazwa katika hospitali ya mkoa Mount Meru baada ya kubakwa na kisha kukatwa ulimi na mwanamke mmoja aliyekuwa akimtaka kimapenzi.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea juzi majira ya saa 6.30 usiku katika eneo la Tindigani, kimandolu, wakati mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina moja la mama Abuu alipofika katika bar hiyo kama mteja na baadaye alimlazimisha
mhudumu wa bar hiyo ambaye ni majeruhi kufanya mapenzi bila ridhaa yake.
Akiongea na mwandishi wa habari hii mfanyakazi katika bar hiyo, inayomilikiwa na mwenyekiti wa mtaa ,Joel Mbasha alisema mnamo majira ya usiku alikuja mwanamke huyo na kuagiza kinywaji huku yeye akimhudumia kabla hajamgeuzia kibao.SHUKA NAYO HAPA>>>

0 comments:
Post a Comment