Monday, October 13, 2014

Usiku wa Juzi  Pale mlimani City Palikuwa na Fainali za Mashindano ya Miss Tanzania 2014 na Taji likachukuliwa na Mrembo Sitti Mtemvu …

Leo Asubuhi Mitandoni zimejaa Habari Kuwa Miss huyo Kapendelewa na pia Hafai kutwaa Taji hilo na wengi wakilalamika ilikuwa imepangwa kwa kuwa baba yake ni mbunge
Jamani Embu Tujuzeni kwa wanao jua ..maaana huko Insta ni Shida balaaaa…

0 comments:

Post a Comment