Monday, October 20, 2014

Kijana Mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Omar mkazi wa Mafisa Morogoro,ambaye ni dereva wa boda boda mwishoni mwa wiki iliyopita alipokea  kichapo  kutoka kwa wananchi wenye hasir akidaiwa kumpora simu mwanamke mmoja nayedaiwa kuwa mwanafunzi wa chuo Kikuu Cha Kilima Cha Sokoine’ SUA’ 
Tukio hilo limetokea ijumaa iliyopita  Eneo  Mazimbu  FK  ambapo Mwanafunzi  huyo alikuwa akitembea kuelekea chuoni huku akiongea na simu hivyo Omar aliyekuwa amempakia mwenzake kwenye pikipiki walimpora simu kwa kutumia pikipiki hiyo.BOFYA KWA PICHA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment