Monday, October 27, 2014

Mwigizaji wa Kundi la Vituko Show linalorusha vipindi vyake kwenye Runinga ya Channel Ten, Jasmini Emiry akiwa katika hali ya sintofahamu.
Mauzauza? Katika hali ya kushangaza, mwigizaji wa Kundi la Vituko Show linalorusha vipindi vyake kwenye Runinga ya Channel Ten, Jasmini Emiry anadaiwa kuzua timbwili kanisani na kusababisha tafrani madhabauni ikisemekana ni mapepo. 
Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Patriki mjini hapa, mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa kuaga mwili wa msanii mwenzake, Shirley Edward almaarufu Sherry Magali.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakichukua uamuzi wa kumtoa nje ya kanisa ili ibada ya mazishi iendelee.PICHA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment