Thursday, October 16, 2014

  

Mama wa marehemu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa
MAMA wa marehemu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amekanusha vilivyo taarifa zilizozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na kijana mdogo ambaye amemzidi umri (serengeti boy).
Mama Kanumba ambaye pia amefuata nyayo za mwanaye kwa kujiingiza katika uigizaji, alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na mwanahabari wetu mambo mbalimbali yahusuyo maisha yake binafsi na sanaa kwa jumla.
Lilipofika suala la tuhuma hizo ambazo zimewahi kuripotiwa na baadhi ya magazeti (si ya Globa Publishers Ltd) kwamba anatembea na dogodogo, mzazi huyo alisema taarifa hizo ni za kipuuzi na hazina ukweli wowote.
“Huo ni uongo tu kwa kweli, hakuna kitu kama hicho, mtu mzima kama mimi naanzaje kufanya vitendo kama hivyo? Heshima yangu itakuwa wapi?” alihoji mama Kanumba.
Mama hakusita kutoa ufafanuzi zaidi juu ya madai hayo kwenda mbele hadi kufikia hatua ya kudai kuwa anaonekana na dogodogo huyo katika maeneo tofauti.SOMA ZAIDI>>>>

0 comments:

Post a Comment