Sunday, October 19, 2014

Sitti Mtemvu
Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu atakuwa amewaka historia kwa pengine kuwa mshindi wa Miss Tanzania aliyewahi kukataliwa zaidi na walio wengi kuwa hakustahili. 
Mara baada tu ya Sitti Mtemvu kutangazwa mshindi weekend ilopita social media ukiwemo ukurasa wa Redds Tanzania ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano hilo watu
walitiririka muda mfupi kumkataa Sitti Mtemvu kuwa
amependelewa hakuwa na vigezo huku Jihan Dimechk aliyesshika nafasi ya 3 wengi wakisema kuwa ndiye aliyestahili kuwa mshindi hivyo ameonelewa.PICHA ZAIDI>>>>>

0 comments:

Post a Comment