Tuesday, October 28, 2014

 Mabaki ya mwili yaliyokutwa katika eneo la kijiji cha Lupapila wilaya ya songea mkoaniRuvuma yakikusanywa na wataaramu kutoka hospital ya mkoa wa Ruvuma.



Fuvu la kichwa likiwa linazolewa 
-------------
Na Amon Mtega wa Demasho.com Songea

 MIFUPA ya masalia ya binadamu  wa jinsia ya kiume  ambaye hakuweza

kufahamika  jina na kukadiliwa kuwa na miaka (30) yamegundulika na

Zaujia Pilly (70) mkazi wa kijiji cha Lupapila wilaya ya songea mkoani
Ruvuma  wakati akienda kuchimba dawa za kienyeji baada ya kuwaona mbwa
wakishambulia sehemu za mabaki hayo.SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment