Inasemekana Mwanamke huyo alisikika akipiga kelele kutoka kwenye chemba hiyo ambayo ilikuwa haina sehemu ya kutokea bali matundu madogo ya kutolea maji na uchafu ..
.Watu walioshuhudia tukio hilo walibaki na maswali ameingiaje humo na wakati hakuna sehemu ya kuingia...ili kumtoa ilibidi wananchi watafute vifaa vya kukatia chuma ili kukata mifuniko ya chemba kumtoa..SOMA ZAIDI>>>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment