Stori: Andrew Carlos: BAADA ya kuandamwa naskendo kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, mkali wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’ amesema yuko mbioni kumtambulishamchumba wake.
Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’.Akipiga stori nagazeti hili, Meninah ambaye ni zao kutoka shindano la kuibua vipaji vya kuimba, Bongo Star Search ‘BSS’ 2012 alisema;“Nimechoshwa kila siku kusikiaDiamond, sasa ni bora nimtafute mwanaume yeyote tu kisha nimtambulishe ili ijulikane sikona Diamond,” alisema Meninah ambaye yupo mbioni kuachiangoma mpya ya Kaniganda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment