Wednesday, October 22, 2014

Idadi ya watu wanaoendelea kutajwa kupata tiba ya Ebola, imezidi kuongezeka ambapo siku moja baada ya millardayo.com kuwataja watu hao, leo pia shirika la utangazaji Sky News wameripoti kuhusiana na mtu mwingine aliyepona Ebola.
Ashoka Mukpo (33), mpiga picha wa gazeti la NBC News ametajwa kuwa mmoja ya watu wachache ‘waliobahatika’ kupona Ebola. Mwanahabari huyo alipata maambukizi hayo akiwa Liberia, amesema alipogundua ana dalili za maambukizi ya ugonjwa huo, alisafiri kurudi Marekani na baada ya STORI KAMILI HAPA>>>

0 comments:

Post a Comment