Sunday, October 12, 2014



KWELI AMETOKA MBALI
Kwa muonekano wa Ommy Dimpoz umeashiria kweli Kigoma ndio nyumbani “Home Sweet Home” kutokana na mandhari ya treni na kama unavyojua usafiri mkubwa kwa miaka hiyo ulikuwa ni gari moshi aka treni, sasa hapa Ommy ndiyo anaingia Dar au? ila katisha sana.

0 comments:

Post a Comment