Friday, October 17, 2014

Staa wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Lulu alisema kuwa kwa sasa yuko Chuo cha Uhazili
Magogoni, Posta jijini Dar akichukua ‘course’ ya Utawala wa Umma (Public Administration) kwa ajili ya kupata ujuzi mwingine kichwani. INAENDELEA>>>

0 comments:

Post a Comment