Friday, October 17, 2014


She is heavily pregnant wazungu wanasema. Nay wa Mitego ameshare picha ya mchumba wake mjamzito, Siwema. Mimba yake imekua haswaaa kiasi cha mrembo huyo kunenepa.

0 comments:

Post a Comment