TANGAZO NDUGU ZANGU: Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni,Kijana mwenzetu ambaye sisi tunamdharau na wengine wapuuzi kabisa kwa kufeli kwao maisha wana wivu na wanathubutu kumzomea atakuwa anatunukiwa Shahada ya Uzamivu(Phd) na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam(UDSM) kwa kuthamini mchango wake kwenye jamii…
Honorary Phd hata Raisi wetu anayo…Alongside DIAMOND mwingine
Honorary Phd hata Raisi wetu anayo…Alongside DIAMOND mwingine
atakayepewa Shahada hii ya Heshima kwenye Mahafali haya ni Balozi Fulgence Kazaura ambaye amewahi kuwa VC wa UDSM miaka ya nyuma!! SOMA ZAIDI>>>
0 comments:
Post a Comment