NI Gumzo! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi pati ya kuzaliwa ya supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ametimiza umri wa miaka 25, iliyofanyika usiku wa kuamikia jana kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee Tower (PSPF), Posta jijini Dar, Risasi Jumamosi lilikuwepo ndani ya nyumba.
Wengi walitaka kujua kama atafika, ataingia kwa staili gani kutokana na minong’ono iliyokuwa ikiendelea kuwa huenda Wema asitokee kwenye sherehe hiyo kutokana na madai kuwa Diamond alikasirika baada ya kukuta mpenzi wake huyo amezawadiwa ndinga aina ya BMW 454i na Martin Kadinda hivyo kuhoji uhalali wake.
HONGERENI NA MOLA AWALINDE DAIMA NA MWISHI KWA MAPENZI WABAYA WAWASAHAU.
ReplyDeleteHIZI NDO PART SIO PENNY ENZI ZAKE KINA HALIMA KIMWANA WANAMLETEA MAMBO YA YASMINI KITANDANI . KAMWAMBIA NANI HAYO MWANAUME HAWEKWI NDANI KWA YASMINI NA UDI NI MAMBO YA BIBI ZETU SIKU HIZ PERFUME.
MOLA AWAZIDISHIE